Wakili Frank Mwalongo amejitokeza kujitetea mbele ya waandishi wa habari kuhusu tuhuma kadhaa ambazo umma ulielezwa kwamba, kampuni ambazo zimekopa mikopo chechefu, zote zinamtumia mahakamani...
Moja kwa moja.
Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?
Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Niliambia hivi ★★★★"Mwanangu katika maisha yako ya utuuzima ishi na mwenyeji wako kama mgeni,mgeni ajapo ishi naye kama mwenyeji tu ulokwepo naye kabla"★★★★
Nilipewa nafasi kufikiria kama...
Katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo katika jukwaa la JamiiForums.com, kumekuwa na majadiliano na maswali yanahoji au kutoa taarifa ambazo wengi hawana uthibitisho nazo kuhusu dawa za...
Good evening
Moja kwa moja kwenye mada,naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san
Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa...
Kutokana na Takwa la KIKATIBA kuwa Mbunge lazima awe Mwanachama wa Chama cha siasa na Mbunge anapoteza SIFA ya kuwa MBUNGE pindi anapofukuzwa UANACHAMA na chama chake.
Halima Mdee na Wenzake...
Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.