The Surprising Reason Your Relationship is Failing: It's Not the Arguments, It's How You Argue
Imagine this: another night, another fight about the same old thing. Dishes, finances, whose turn it...
Kila mwaka. Kabla Mahujaji hawajaenda Kuhiji wanachanjwa. Hizi chanjo za Yellow fever, Hepatitis B, Covid 19 n.k hakuna zinazotengenezwa Saudi Arabia, Egypt au Palestine.
Je, hizi haziwezi kuwa...
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
● Shule inapatikana Wilaya ya Ilala inajumuisha jumla ya madarasa 16, jengo moja la utawala, matundu 24 ya vyoo.
● Shule imejengwa kupitia mradi wa BOOST na umegharimu jumla ya Tsh. Milioni 475...
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima...
Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on...
Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania.
Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaambieni ukweli kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
Kijiwe cha mgahawa, mahanjumati kikisindikizwa na bar yenye kila aina ya mvinyo kwa wakazi wa Kawe, Mikocheni na maeneo ya jirani kimeshushwa rasmi baada ya jana tingatinga kukigeuza njia yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.