Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Na. David Kafulila NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
32 Reactions
162 Replies
5K Views
Wakuu tuokoe muda Naomba maandiko rasmi sio stori ndefu na blaah blaah narudia tena kwa msisitizo yawe maandiko rasmi tena yaliyonyoroka sio ya kuokotezaokoteza wala konakona. Mambo mengi muda...
3 Reactions
30 Replies
439 Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
112K Views
  • Poll
Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
8 Reactions
42 Replies
631 Views
Habari JF members.. Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe. Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda...
1 Reactions
13 Replies
111 Views
Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi...
0 Reactions
73 Replies
35K Views
5 Reactions
47 Replies
1K Views
Wanabodi, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe...
30 Reactions
169 Replies
6K Views
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
20 Reactions
113 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,006
Posts
49,472,053
Members
666,532
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom