Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
24 Reactions
46 Replies
941 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
3 Reactions
41 Replies
306 Views
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki: Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke. Kumbe kwanini...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world! Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa...
6 Reactions
63 Replies
614 Views
Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni...
8 Reactions
118 Replies
2K Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
4 Reactions
82 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
12 Reactions
356 Replies
5K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
32 Reactions
620 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,444
Posts
49,202,013
Members
664,010
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom