Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
5 Reactions
50 Replies
975 Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
7 Reactions
37 Replies
566 Views
Pamoja na kile kinachoitwa ushirikiano ila Huwa Kuna ajenda zingine Nje ya kinachoandikwa na kuonekana. Nchi iwe makini ,wanaoutwaga vibaraka Huwa wanaandaliwa hivi hivi.Tuwe makini na Wapinzani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani...
14 Reactions
202 Replies
4K Views
Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa task force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Rais Samia anatarajia kuanza ziara ya siku 4 Nchini Uturuki tarehe 17/4/2024 Kwa Mualiko wa Rais huyo wa Taifa kubwa bwana Recep Yayib Erdogan. Huenda Samia ndio atakuwa Rais wa kwanza kufanya...
3 Reactions
16 Replies
417 Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
1 Reactions
39 Replies
469 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,844
Posts
49,398,807
Members
665,732
Latest member
Magreth kivuyo
Back
Top Bottom