Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
9 Reactions
103 Replies
1K Views
  • Poll
Habari ya uzima wanajanvi ? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa ? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya...
1 Reactions
4 Replies
36 Views
Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye...
15 Reactions
56 Replies
2K Views
Makonda anataka yeye ndiye awe chawa mkuu wa Rais Samia, anamlazimisha Rais amsikilize yeye sana kwamba yeye ndiye msema kweli, Mimi kwenye serikali yangu sitahitaji machawa wala watu...
16 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wakuu, Hii mitandao imekuwa ikiwapa watu umaarufu na kisha kuwapoteza, Mara nyingi mtu anaeibuka kuwa Maarufu mtandaoni huwa hategemei kuwa kituko chake kitampa umaarufu bali hutokea tu...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Ikiwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ni Mnyenyekevu, Mtu mwenye hofu ya Mungu na anaheshimu lila mtu bila kujali Itikadai. Tuwaombee Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views
Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
0 Reactions
9 Replies
290 Views
Kila kukicha post za Gardner jaman kakayetu hata kuzikwa ajazikwa tunapambana kumzika leo Embuu sitirini familia mjikite na ma thread mengine pls Rip Br
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,763
Posts
49,464,899
Members
666,456
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom