Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Katiba ya JMT imetamka Wazi endapo Rais atapata dharura na Kushindwa kuendelea kuongoza basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais wa JMT. Wakati wa kupiga kura ni mtu Mjinga tu ambaye...
2 Reactions
42 Replies
378 Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
39 Reactions
405 Replies
17K Views
Nimekaa nasoma jf Mara text hizo Kwa wasapu yangu Angalia mwenyew hizi screenshot
0 Reactions
0 Replies
1 Views
List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,. kumbuka haya ni maoni binafsi tu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
INTRODUCTION: Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!! BODY Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa...
4 Reactions
52 Replies
1K Views
Mi nimezaliwa Dar na Nimekua Dar, nimejipambania kutafuta kile Mungu amenijalia kilicho kidogo changu, Ila nafsini mwangu mi sitaki chochote Cha urithi iwe kwa Familia yangu niliozaliwa yaani kwa...
2 Reactions
21 Replies
215 Views
Hello wakuu. Hii naomba kujuzwa Kwa anayefahamu in-details hii organization inayoitwa IPA, anipe information zake. Maana ni organization ambayo inatangaza nafasi nyingi mno za ajira karibu Dunia...
0 Reactions
5 Replies
12 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
10 Reactions
309 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,996
Posts
49,437,902
Members
666,154
Latest member
fifiii
Back
Top Bottom