Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave...
5 Reactions
45 Replies
305 Views
Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui! Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
19 Reactions
1K Replies
10K Views
Haya mje wana Kuna dada amemwaga maji huko Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3. Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa Kijana kumpeleka...
7 Reactions
192 Replies
3K Views
Habari wana jf Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa...
1 Reactions
12 Replies
149 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
45 Reactions
232 Replies
9K Views
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara...
2 Reactions
40 Replies
447 Views
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa? Basi powa twende sasa, Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length, Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana...
5 Reactions
24 Replies
401 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,820
Posts
49,466,794
Members
666,457
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom