Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu. Jitafakari. Cc...
12 Reactions
95 Replies
1K Views
Wakuu. Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele? Ni...
8 Reactions
5 Replies
195 Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024.
1 Reactions
28 Replies
285 Views
Gavana wa Florida, Ron DeSantis amesaini Muswada ambao unapiga marufuku Watoto wenye umri chini ya Miaka 14 kutumia Mitandao ya Kijamii na kuhitaji Watoto wenye umri wa Miaka 14 na 15 kupata...
2 Reactions
10 Replies
475 Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
9 Reactions
104 Replies
4K Views
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa. Mim ni nilikuwa nasali kanisa la...
9 Reactions
83 Replies
2K Views
Watanzania biashara wanayoimudu ni Kuuza maneno yaani Siasa na si zaidi ya hapo Wamepewa Mwendokasi imewashinda wakaishia Jela Waarabu Wana history ya kufanya vizuri Kwenye Sekta ya...
2 Reactions
24 Replies
177 Views
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la NAFAKA DAR lakini Mimi mi mgeni katika biashara, sijui NAFAKA gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika Sana hapa Dar na...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
11 Reactions
32 Replies
736 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
227 Reactions
400K Replies
31M Views

FORUM STATS

Threads
1,840,241
Posts
49,194,633
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom