INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Leo tukiwa kwenye kikoa Cha viongozi wa Casfeta hapa Mlimani, kikao kilianza Mida ya kumi na tulikuwa watu (viongozi kumi) wasichana sita na boys 4.
Basi kipindi kikao kinaendelea nikatoka...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Baada ya Uingereza kulazimisha kuhamisha watafuta hifadhi Rwanda, kwa maoni yangu naona kuna migogoro ya kiusalama itatokea kwa nchi zinazopakana na Rwanda.
Ni namna Rwanda inataka kupanua nchi...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.