Wasalam
Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu
Historia inaonyesha Simba...
Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana
1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika...
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM...
Zamani nilikuwa ninawashangaa sana na kukemea tabia za baadhi ya wanaume ambao wakitoka kazini hawaendi nyumbani wanapitia Bar kupoteza muda ili masaa yasogee.
Sasahivi nimegundua kumbe wanakuwa...
Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono.
Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti.
Askari walifika...
Uongo dhambi.
Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.
Hata mke wangu...
Katiba ya JMT imetamka Wazi endapo Rais atapata dharura na Kushindwa kuendelea kuongoza basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais wa JMT
Wakati wa kupiga kura ni mtu Mjinga tu ambaye...
wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.