Habari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu...
Wametua bana, mmeona pia mfuturishe bure uwanjani ili watu wajae mfanye yale mambo yetu.
Cwezi vaa jezi ya Mamelodi lakini siwezi kushangilia ushindi wa Yanga hata iweje.
Watu wengi wanaamini ugali ndio chakula pekee cha kuupa mwili nguvu na afya njema lakini si kweli
Ugali ni mlo hatari ni kama sumu ndio maana hata wanyama wachoyo kama mbwa, nguruwe, paka, nk...
Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia...
Wakuu samahani,
Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao.
Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na...
"DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje...
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.