Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mbali Sana nimeona waliotunukiwa nishani leo na Rais Samia Ila ajabu hata hakuna mpizani yoyote aliyepewa tuzo hiyo Ina maan wapinzani hawna mchango wwote ktk kufikiwa kwa muungano huu wa...
1 Reactions
8 Replies
114 Views
Kuna mambo matatu ambayo hua moja linaweza simama kupinga lingine. Mwenye uelewa anaweza kuchambua haya mambo matatu lipi nikuu kuliko mengine . Lipi bora kuliko mengine na lipi linapaswa watu...
0 Reactions
3 Replies
27 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Tukizungumzia kinadharia (au hata kikweli kweli), je hapa JF ni nani ambaye unaona ungeweza kutoka naye kama mtu na rafiki yake wa kimapenzi? Ni mwanachama yupi ambaye unaona au kudhani unaendana...
21 Reactions
3K Replies
159K Views
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao. Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila...
29 Reactions
73 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Habari za uzima, Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
2 Reactions
10 Replies
228 Views
Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia...
50 Reactions
718 Replies
135K Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
60 Reactions
187 Replies
5K Views
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi, Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu. #Samia hakamatiki ==== Below are...
16 Reactions
83 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,204
Posts
49,478,282
Members
666,653
Latest member
Mo Said 83
Back
Top Bottom