Kampuni ya usafirishaji Mabasi,New force imehusika kwenye ajari nyingi sana.Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.
Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.
Sasa swali langu...
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”.
Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa...
Nimwalim shule yamsingi cheti.. Natafta mwalim wakubadilishana kituo. Aje mwanza sengerema (Buchosa) nije Dodoma wilaya yeyote, Tanga wilaya handeni korogwe kilindi na Tanga mjini, mkoa was pwani...
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi.
Sisemi tu kwa sababu...
Michael Jordan ndiye mwanamichezo mwenye pesa kuliko wanamuziki wa Marekani.
Jamaa ana dola bilioni 3.2.
Jay Z ana dola ana dola bilioni 2.5.
P Didy ana dola milioni 800
Dr Dre ana dola...
Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike uzi huu kuhusu hizi processor...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.