Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani.
Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi...
Habari wakuu,
Mnamo mwaka Jana zilikuja taarifa hapa juu ya hii barabara ya Goba mpakani ilivyokuwa hatarishi kupitika baada ya kupigiwa kelele hapa hapa jamvini wahusika mara moja wakaenda...
Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu...
HILI WADAU LITAONGEZA USHAWISHI MKUBWA KWA TAIFA KILA NCHI ITACHAGUA TZ KUJA KUWEKA KAMBI BADALA YA KUKATAZA JEZI TUTENGENEZE ELA KUPITIA HILI,WIZARA IFANYE UBUNIFU
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikua busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki:
Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke.
Kumbe kwanini...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wakuu samahani,
Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao.
Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
SERIKALI imetuma kikosi maalum cha askari wa kupamba na ujangili Wilaya ya Urambo, mkoani Tabora ili kukabiliana na nyoka aina ya Koboko ambao hadi sasa wamesababisha vifo vya watu wanne.
Hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.