Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
10 Reactions
201 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu Wana Jamii Forums .Mimi ni kijana wa Miaka 26.Natafuta kazi ya Dental Therapist (Daktari wa Meno Ngazi ya Diploma ).Leseni ya kufanya kazi ninayo tayari. Kwa sasa Nipo...
0 Reactions
2 Replies
57 Views
Moja kwa moja niende kwenye mada.Nakumbuka siku za nyuma waziri wa elimu alishawahi kupiga marufuku wakati wa likizo watoto wetu kuendelea kusoma kwa kisingizio cha madarasa ya mitihani waendelee...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tunajua kwamba Mariamu alimpata Yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu.... Lakini pia tunajua alikuwa mke wa halali wa Yusufu.... Inawezekana kweli kwamba kwenye maisha yao yote ya ndoa, baada ya Yesu...
0 Reactions
7 Replies
8 Views
Baada ya kumsikiliza kocha wetu, mbabaishaji Miguel gamond katika mkutano na waandishi wa habari, Nimejikuta nimekata matumaini ya timu Yangu kushinda mchezo wa kesho dhidi ya kabayelo...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
21 Reactions
449 Replies
6K Views
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
2 Reactions
22 Replies
29 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
52 Reactions
310 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,666
Posts
49,208,722
Members
664,071
Latest member
merckme
Back
Top Bottom