Aisee hapa Lindi mvua mwaka huu imeamua inanyesha kila siku yaani kila kunapokucha tuko nayo ukifua nguo kwenye mvua hizi za kusi basi zitakauka Kwa siku tatu.
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
Habarini wana JF,
Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.
Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?
Tutaweza kuona matukio...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa.
Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke...
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty.
Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
Ni nadra sana Leo hii kuwasikia Viongozi wa CCM wakiunanga Upinzani lakini wawapo mikutanoni Viongozi hao ni wakali kweli kweli
Je, unajua wanamfokea nani?! 🐼
Jumaa kareem 😄
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.