Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni...
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC.
Yanga...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Huwa sipendi kabisa kuzungumzia Dini. Sababu mimi nimeshaitwa majina mengi sana. Ila huwa sijali mzee wangu ni Al Haj, Sheikh ila si Sheikh njaa. Anakazi na miradi yake mingi tu.
Mimi huwa...
wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo...
“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali...
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha...
Kutoka angani naliona Bwawa kubwa, liliojengwa kutoka kwenye urithi wetu wa mto Rufiji, katikati ya Hifadhi yenye jina lake Nyerere mtu wa kipekee. Naliona Bwawa lile na kukumbuka kwamba wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.