Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea
Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya...
Hapo vip!!
Awali ya yote nadeclare yakwamba ni lazima nitalipiza kisasi cha milele dhidi shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake.
Nije kwenye mada husika yakwamba ninaposema hii vita kati ya...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara...
Sisi wengi wakongwe tunakumbuka historia ya Captain Gardner nguli wa vipindi vya redio, alianza kama muuza cassette (Kanda) za audio na video pale jijini mwanza kama mtu wa masoko, ndipo Othman...
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
kwakweli wanazengo hili suala lmekua lkinikela sana mfano unamchek mtu dm maybe kwa lengo la.kufaamiana na kuomba konekshen za michongo mana watu hawafanan sasa baada ya hapo unakutan na upnzan wa...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.