Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinaeleza ya kuwa Mwamba Mwenyewe na kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara Paul Christian Makonda atazungumza na waandishi wa habari muda na wakati wowote ule...
10 Reactions
157 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
2 Reactions
4 Replies
27 Views
Kiukweli Oysterbay itabaki Kuwa Oysterbay tu japo wengine wanadai Mbweni ndio mbadala wa Makazi ya Viongozi wa Serikali waliokuwa wanaishi huko Barabara ni Lami tupu lakini Maji ya mvua...
0 Reactions
8 Replies
129 Views
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
6 Reactions
62 Replies
533 Views
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. Takwimu alizotoa zinaonesha...
0 Reactions
12 Replies
119 Views
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu. Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
9 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwenye makuzi yetu mpaka kufikia hapa tulipofikia kuna mtu amehusika kwa asilimia kubwa mpaka kufika tulipofika. Yawezekana ni baba,mama, rafiki, bibi, babu, mjomba, mwalimu wa shule ama yeyote...
2 Reactions
14 Replies
175 Views
Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa taarifa yenu tu akina dada, ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake ambao hawajatumika sana ktk migegedo. Japo ni ngumu kuwatambua lkn wengi wao wamekuwa wakiwapima kwa utundu wao...
60 Reactions
504 Replies
56K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,866
Posts
49,468,192
Members
666,513
Latest member
CollinsTeko
Back
Top Bottom