Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
10 Reactions
42 Replies
529 Views
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?
0 Reactions
10 Replies
117 Views
Ndiyo maana GENTAMYCINE nikaamua tu kubakia na hii hii Degree yangu Moja tu kutoka Chuo Kikuu cha Werevu tupu Tanzania cha Mtakatifu Augustino Mwanza ( SAUT Mwanza ) na wala sikutaka tena sijui...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
8 Reactions
459 Replies
12K Views
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
2 Reactions
19 Replies
69 Views
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
24 Reactions
230 Replies
5K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
24 Replies
186 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,735
Posts
49,428,375
Members
666,049
Latest member
Simon silumbe
Back
Top Bottom