Ule mkataba mpya uliosemekana kuwa wa nyongeza kwa Prince Dube kutoka 2024 hadi 2026 haupo kwenye mfumo wa usajili wa ndani wala kwenye TMS,Je mkataba huo ulisaini vipi ikiwa mamlaka hazina nakala...
Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wanaume hukasirika zaidi pale wanapogundua kuwa wanawake zao wanacheat?
Iko hivi...
Watu wengi (hasa wanaume) huamini kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kucheat...
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika...
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing.
Kibaya wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.