Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
Huduma za hospitali ya rufaa Bugando zina changamoto hasa wodi za watoto, kwenye wodi za watoto wanaolazwa wanachanganya wazazi/walezi wa kiume na kike hali inayopelekea baadhi ya wasimamizi wa...
Viongozi wa Yanga mbona mmelala kiasi hiki? Hamuoni hii ni hujuma ya wazi?
Lengo la Tff na bodi ya ligi ni nyie kudodosha point ndio maana wanalazimisha mechi ichezwe kwenye uwanja usiochezeka...
Wanasema tembea uone,,,hakika najionea ambayo sikuyaona town
Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai...
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela halatu uje ulalamike hela huioni na inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi...
Wanakumbi.
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA"
Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.