Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
21 Reactions
2K Replies
13K Views
Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo...
1 Reactions
22 Replies
604 Views
Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
1 Reactions
12 Replies
30 Views
Kuna mambo Mawili muhimu Sana Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Wana familia wa JF, Humu ndani naamini wapo Watanzania ambao wanaishi Marekani kwa nguvu ya GREEN CARD. Kwa faida ya wengi, naomba yeyote anayejua au amefanikiwa kuwa na Green Card ya Marekani...
0 Reactions
24 Replies
797 Views
Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe...
7 Reactions
72 Replies
1K Views
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi, Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu. #Samia hakamatiki ==== Below are...
14 Reactions
69 Replies
1K Views
Khanga Kubwa za Zanzibar zinapatikana. Bei sh 20,000 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi dar es salaam. Ni biashara ya Mtandaoni, ukiagiza tunafanya delivery. Mawasiliano 0784 829565
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
BASHUNGWA ASHIRIKI MAOMBI NA DUA YA KULIOMBEA TAIFA Waziri wa wa Ujenzi Innocent Bashungwa, ameungana na Watanzania kushiriki Siku ya Maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika Maadhimisho ya...
1 Reactions
20 Replies
341 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,051
Posts
49,473,112
Members
666,573
Latest member
Binta Maso
Back
Top Bottom