Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali, hata wale mashabiki wezangu poleni pia. Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu. Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu. 1. Nina shida...
1 Reactions
14 Replies
402 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
2 Reactions
32 Replies
855 Views
Juhudi za mtu mweusi kujenhga umoja na waarabu. Mavazi - kuvaa kanzu na kobazi, Lugha, leo hii hata jeshi la Nigeria nembo yao ina maneno ya kiarabu Ndoa - kufunga ndoa kwa tamaduni za...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
31 Reactions
247 Replies
3K Views
Kupinga kila kitu siyo kujenga hoja wala si kushawishi umati, ila ni kufanya uchochezi ✍️ Jambo lingine, kwanini kutukana mnaita kupinga kwa hoja? Kukejeli mnaita kupinga kwa hoja? Kudhalilisha...
5 Reactions
38 Replies
343 Views
Shehe mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar amesema Ijumaa itakuwa ni siku Maalumu ya kuliombea Taifa juu ya mvua zinazoendelea kunyesha Mungu wa Mbinguni mbariki Mufti Abubakar
2 Reactions
28 Replies
408 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
28 Reactions
126 Replies
2K Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Kila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia...
11 Reactions
30 Replies
647 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,985
Posts
49,403,089
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom