Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
73 Reactions
4K Replies
245K Views
Habari zenu. Nauza migebuka mikavu na mibichi kutoka kigoma. Wabichi wanauzwa kwa mmoja sh.1500 na kilo moja sh.11,000 Ipo fresh kabisaaa Mikavu ipo, kuna mmoja 1000 na 2000 Fungu la wanne kwa...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
8 Reactions
66 Replies
965 Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
23 Reactions
231 Replies
3K Views
Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Dada wa watu kachagua kilicho Bora kwake. Mengi yalisemwa kipindi cha msiba wa Fanuel, lakini Sasa ukweli umerhibitika.
3 Reactions
50 Replies
985 Views
Kuna mengi sana yanapita katika kichwa cha dereva anaeendesha gari alafu ikazima ghafla bila ya yeye kuizima na mbaya zaidi itokee hivyo ikiwa geji ya mafuta inaonesha mafuta yapo ya kutosha...
4 Reactions
3 Replies
571 Views
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash. Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10...
2 Reactions
19 Replies
269 Views
Kuna watu hawaamini mpaka leo kuwa ngoma ni ugonjwa dhaifu kama magonjwa mengine pindi unapoingia mwilini kwa mara ya kwanza. Ikiwa mwili wako ni mwili wenye kinga imara ambayo inaweza kupambana...
3 Reactions
7 Replies
87 Views
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
3 Reactions
63 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,880
Posts
49,433,227
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom