Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unanunua rejareja hapa Bongo sigara nyota sh 100 ukiifikisha huko mambele unawauzia sh10000, unakunja Faida 9900, ukiwa na pisi zako milioni 1, ukirudi Bongo unavuta Georgia lako kariakoo...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele...
18 Reactions
118 Replies
3K Views
Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za...
1 Reactions
4 Replies
118 Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
1 Reactions
9 Replies
150 Views
Leo nilikua napitia mtandao nikakutana na Hii habari ya Boss wa Equity Bank ya Uganda kukamatwa kwa Kosa la kutakatisha Fedha. Na fedha hizo ni za Mikopo ambayo wananchi ndio wanachukua. Hii...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI. == Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25...
9 Reactions
55 Replies
760 Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na...
2 Reactions
19 Replies
509 Views
Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa...
29 Reactions
153 Replies
2K Views
Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika Ndani na Nje ya Nchi , Chadema HQ na Chadema Diaspora , zinaeleza kwamba Maandalizi ya yale Maandamano kabambe ya amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na...
2 Reactions
13 Replies
77 Views
Nimepata mume na kwakweli kwa sababu nilikuwa humu kama mmoja wa wanajf napenda kutoa shukurani kwa wanajf wote, mie nimekuwa na familia ambayo inanitegemea kwa sasa. Na kama hamtaniona hapa JF...
30 Reactions
240 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,978
Posts
49,402,844
Members
665,795
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom