Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kabla ya kunyonyana ndimi au kulana denda tuwe tunakaguana meno kwanza, hili tatizo la meno kuuma na kuoza halitaisha. Kuna watu wameoza meno jameni. Halafu ndiyo wanyonyaji ndimi mpaka unahisi...
32 Reactions
260 Replies
5K Views
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja...
7 Reactions
26 Replies
212 Views
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi san. Sintawataja. Ila ni kati ya benk mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi...niseme...
3 Reactions
46 Replies
557 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
5 Reactions
113 Replies
2K Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
15 Reactions
339 Replies
4K Views
Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
7 Reactions
22 Replies
432 Views
Ukipata ukifanikiwa usisite kunibless ata ya soda basi dah! Wana mna roho ngumu haki ya nani! 😂👇👇
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
28 Reactions
115 Replies
2K Views
Ama kweli Maendeleo hayana Chama.
8 Reactions
25 Replies
959 Views
Tukiwa tuna masiku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga. My take Sijaona andiko...
10 Reactions
41 Replies
590 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,586
Posts
49,206,596
Members
664,059
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom