Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
11 Reactions
142 Replies
883 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee...
27 Reactions
287 Replies
11K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
162 Replies
3K Views
Tupo kariakoo unaletewa bidhaa ndo unalipa kwa aliyeko dar-es-salaam punguzo lipo 0713520180
2 Reactions
150 Replies
4K Views
Habari Tanzania! Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kiukweli wananchi...
4 Reactions
78 Replies
923 Views
Huyu ni BobRisky wa Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
0 Reactions
19 Replies
154 Views
Daktari Magufuli aliwaachia madaktari waamue kuhusu chanjo ya Corona lakini Dr. Samia alihamasisha tena kwa kuchoma hadharani. Dr. Magufuli hakusafiri sana nje ya nchi na kuwaachia mabalozi wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI...
2 Reactions
30 Replies
388 Views
Matukio ya hawa watu kutaharibia watoto wetu yamekua mengi. Wadau ivi tuwafanyeje hawa kenge waache kutuharibia taifa la kesho????
2 Reactions
17 Replies
157 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,395
Posts
49,200,428
Members
664,018
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom