Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??. jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
13 Reactions
53 Replies
1K Views
Wana familia wa JF, Humu ndani naamini wapo Watanzania ambao wanaishi Marekani kwa nguvu ya GREEN CARD. Kwa faida ya wengi, naomba yeyote anayejua au amefanikiwa kuwa na Green Card ya Marekani...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania. Kama...
10 Reactions
66 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
Habari JF members.. Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe. Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda...
7 Reactions
44 Replies
724 Views
Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa. Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini??? Jee Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa!!?? Jee Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu?? Jee Simba...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ajira za mkataba walizotoa Tamisemi zinaenda kuwa sehemu ya siasa. Ajira hizo ni za afya Mradi wa TMCHIP zimekuwa jibu ambalo kiuhalisia bado halijatumbuka. Tamisemi imewapangia kazi watumishi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Angalia hii video wadau wakijaribu kujiokoa kutoka kwenye mafuriko. Mmoja katumia kamba vizuri kujiokoa mwingine anapata tabu sana. Nasisitiza kama una safari ya Dar fanya mazoezi ya kuogelea...
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Kifo ni moja kati ya fumbo kubwa sana kiumbe hai (binadamu) tumeumbiwa kutokujua hatma yetu. Lakini, lait kungekuwa na jinsi fulani mtu anaweza kuchagua ni vipi roho yake iachane na mwili huu wa...
2 Reactions
23 Replies
146 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,211
Posts
49,478,507
Members
666,651
Latest member
Mo Said 83
Back
Top Bottom