Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini...
6 Reactions
54 Replies
909 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
8 Reactions
222 Replies
5K Views
Ndugu wanaMMU, naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya kuona idadi ya single mothers inazidi kuongezeka kila kukicha, nimeshawishika kufungua uzi...
4 Reactions
32 Replies
221 Views
Leo 09.03.2024 Muda wa Saa 12 Jioni. Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara. Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36...
12 Reactions
476 Replies
17K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation'...
0 Reactions
2 Replies
30 Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
1 Reactions
30 Replies
162 Views
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa. Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
2 Reactions
21 Replies
983 Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwenye haya maisha kuna wakati huwa ninakaa chini na kusema "Kama sikufa kipindi kile,basi siwezi kufa mpaka Mungu atakaporuhusu" Nadhani wengi...
107 Reactions
2K Replies
524K Views
Ni vigumu kukuta Watanzania wanajadili mambo yanayo husu maisha yao, Maswala ya kodi isio rafiki kwenye biashara, Upigaji, Tatizo la ajira au matumizi ya anasa ya Serikali. watawala kujazilishia...
3 Reactions
3 Replies
102 Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
13 Reactions
207 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,466
Posts
49,418,666
Members
665,948
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom