Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote. Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa...
3 Reactions
24 Replies
799 Views
Habari Baada ya kutoa somo la bure la jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka china kupitia mtandao wa alibaba. unaweza kuupitia hapa chini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
17 Reactions
139 Replies
1K Views
Kwa mimi nahisi ningekuwa mchekeshaji ndio comedian, huwa najihisi kabisa hii kitu ingenifaa zaidi. Wewe je?
1 Reactions
18 Replies
95 Views
Here is a reason behind Sexual dreams can feel good because the brain releases neurotransmitters, such as dopamine and oxytocin, which create pleasurable sensations and feelings of intimacy and...
3 Reactions
62 Replies
988 Views
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana...
0 Reactions
10 Replies
271 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt. Je ipi ni bora?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
5 Reactions
62 Replies
790 Views
Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
12 Reactions
46 Replies
607 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,827
Posts
49,431,195
Members
666,078
Latest member
Amos akyoo
Back
Top Bottom