Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sikutegemea Mradi wa kubeba abiria DAR es salaam akabidhiwe kampuni ya kigeni. Usafirishaji ni sekta ambayo Watanzania wanafanya vizuri sana. Nchi nzima mabasi yanamilikiwa watanzania wenzetu...
2 Reactions
17 Replies
96 Views
Humu kuna watu wengi sana. Nilipiga kutokana maelezo ya baadhi waliojielezea kwa mf bado miaka 3 astaafu. Inamaana huyu ni 57 years. Je kuna uwezekano wapo wa 80years of age?
2 Reactions
15 Replies
146 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
138 Reactions
152K Replies
8M Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
8 Reactions
164 Replies
2K Views
Wakuu za wakati huu, Nina mtoto ana miezi mitano bado hatujamuanzisha chakula kingine ananyonya maziwa ya mama yake tu, ila shida ni kuwa amekuwa ananyonya muda wote anakaa kidogo anapata njaa...
1 Reactions
7 Replies
136 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
48 Reactions
297 Replies
5K Views
Huku uchaguzi wa Marekani ukikaribia na Donald Trump akikabiliwa na matatizo mengi kisiasa pamoja na ukata wa kifedha,ameona achapishe biblia yake ya kizalendo ambayo juu imepambwa na bendera ya...
5 Reactions
23 Replies
623 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,651
Posts
49,208,547
Members
664,071
Latest member
merckme
Back
Top Bottom