Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
36 Reactions
216 Replies
4K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
15 Reactions
209 Replies
3K Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
6 Reactions
68 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 20 nipo Dar es Salaam. Natafuta mwanamke wa kuwa kwenye mahusiano miaka kuanzia 18-25 Awe mweupe na kama sio mweupe awe na kamwili. Awe mpole maana mimi ni mpole sana...
0 Reactions
2 Replies
46 Views
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na Yanga nk vina wasemaji active msemaji wa CHADEMA Makene yuko wapi hasikiki kulikoni? Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
2 Reactions
71 Replies
2K Views
CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na “kutoa siri” za kilichotokea miaka 3...
4 Reactions
12 Replies
28 Views
Salaam, Shalom! Wakati tukielekea uchaguzi, vyama hutoa malalamiko kuwa wanaibiwa kura na kwakuwa tunapambana kuhakikisha, tunapata Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote...
0 Reactions
10 Replies
115 Views
Habari, Majuzi kulitangazwa nafasi za ajira katika Bank ya PBZ Kupitia mitandao mbalimbali na pia kwenye website ya PBZ Bank. (Tangazo nime ambatanisha hapo chini). Kwenye tangazo wamesema...
0 Reactions
5 Replies
105 Views
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia. Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege...
7 Reactions
144 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,732
Posts
49,112,510
Members
662,990
Latest member
mr_fact_96
Back
Top Bottom