Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikua busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
Niajee wakuu,
Mazoezi ni muhimu sana.
Shauri yenu!!!
Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.
Achaneni na chips yai wazee pigeni...
Kutokuwa tayari kula na watu.
Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk.
Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo...
History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti...
Wakuu samahani,
Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao.
Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu...
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
Je, Mungu ni muweza wa yote?
Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika.
Ukiona unamchagulia yapi anafanya...
Uvulana ni shida Sana!
Ilikuwa mida ya jioni muda ambao maji ya bahari huwa sometime yamejaa vizuri sana na kukufanya uvutiwe kuogelea. Ilikuwa kawaida yetu siku moja moja kupenda kuogelea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.