Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa. Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate...
1 Reactions
5 Replies
124 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
1 Reactions
18 Replies
281 Views
  • Poll
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche (Mara) na Gratian Matovu (Kagera) Kituo kitakachofuata ni...
3 Reactions
10 Replies
543 Views
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝. • Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
26 Reactions
331 Replies
7K Views
Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi...
13 Reactions
90 Replies
3K Views
Nadhani kawawakilisha vizuri?.
10 Reactions
27 Replies
995 Views
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema vijana wake wapo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Al Ahly na wanahitaji kupata mabao mengi nyumbani, ili kujitengenezea mazingira mazuri...
2 Reactions
11 Replies
243 Views
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase. Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
24 Reactions
202 Replies
10K Views
Harrison Okene alinusurika kwa siku mbili na nusu akiwa amenaswa ndani ya mashua chini ya bahari, mita 30 (~ 100ft) chini ya maji. Alikuwa mpishi Mnigeria mwenye umri wa miaka 29, akifanya kazi...
13 Reactions
57 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,307
Posts
49,196,943
Members
663,989
Latest member
masagu boy in the buildin
Back
Top Bottom