Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie. Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya. Nini kumetokea?
18 Reactions
466 Replies
26K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
111 Replies
2K Views
Salaam, shalom, Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
7 Reactions
116 Replies
2K Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
45 Reactions
285 Replies
5K Views
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase. Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
29 Reactions
253 Replies
12K Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
16 Reactions
373 Replies
5K Views
Salam mwenye kufahamu lugha ya kiburunge msaada tafadhali wa sentensi ifuatayo " Kumbaoday male ilaguude"
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli? Mabasi yote yafungwe camera...
0 Reactions
3 Replies
50 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,599
Posts
49,207,062
Members
664,061
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom