Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
20 Reactions
2K Replies
30K Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
6 Reactions
108 Replies
3K Views
Katuchambisha la Kwanza na ilikuwa kidogo tena atuchambishe na la Pili sema Babu nae alikuwa anajitahidi Kutuokoa. Mwambieni Inonga kuwa nina Taarifa za ndani kuwa anataka kuondoka Simba SC kwa...
0 Reactions
4 Replies
96 Views
Title iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
9 Reactions
91 Replies
1K Views
Habar JF, Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani...
9 Reactions
50 Replies
2K Views
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo. Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata...
12 Reactions
71 Replies
2K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
2 Reactions
53 Replies
13K Views
Waarabu hawatishi kama tunavyowafikiria. Kwa namna ya uchezaji tulionaa simba tumeweza kuwapress sana hawa waarabu na hata possesion ilikuwa upande wetu, shots on target za simba ni 7 wao ni 1...
7 Reactions
34 Replies
564 Views
Kuna wizi mkubwa ulifumbuliwa na report ya CIG, lakini wizi ule haujachukuliwa hatua yoyote. Kuna wizi mkubwa unaendelea huko mawizarani na kwenye taasisi za umma lakini hakuna mbinyo wowote...
6 Reactions
10 Replies
508 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,796
Posts
49,214,529
Members
664,086
Latest member
ADZAmfmom
Back
Top Bottom