Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na...
Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa...
Ndiyo maana GENTAMYCINE nikaamua tu kubakia na hii hii Degree yangu Moja tu kutoka Chuo Kikuu cha Werevu tupu Tanzania cha Mtakatifu Augustino Mwanza ( SAUT Mwanza ) na wala sikutaka tena sijui...
Asanteni sana Wazee wa Kikwajuni Zanzibar hakika safari hii mmeamua kwani haiwezekani tukose vyote kwa 2024 sawa?
ANGALIZO
Kama unajua HUMPENDI GENTAMYCINE na Mada ( Threads ) zake hapa...
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
Waziri wa Ardhi anapojiona yeye ni zaidi ya mahakama siyo utumishi mzuri. Jukumu la wizara yake nikutoa haki ya umiliki wa ardhi. Yeye siyo mahakama kwamba anaweza akahukumu kuita watu majina ya...
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”
JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.