Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo Bei ni 600,000 Simu 0753-215812.
0 Reactions
4 Replies
52 Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene ‘Try...
29 Reactions
215 Replies
5K Views
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
3 Reactions
34 Replies
383 Views
Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'. Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi...
12 Reactions
74 Replies
2K Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
5 Reactions
81 Replies
2K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema...
24 Reactions
116 Replies
3K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
2 Reactions
19 Replies
450 Views
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
14 Reactions
115 Replies
2K Views
Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo...
5 Reactions
96 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,452
Posts
49,418,252
Members
665,947
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom