Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu...
18 Reactions
81 Replies
1K Views
Kiufupi Majiji ya Mbeya na Tanga Yako nyuma sana linapokuja Suala la Ujenzi wa Majengo ya Magorofa be it ya biashara au Serikali ukilinganisha na Mwanza,Arusha,Dom na baba lao Dar. Yaani hata...
13 Reactions
171 Replies
16K Views
Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli? Ni mzalendo kweli...
17 Reactions
261 Replies
5K Views
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
38 Reactions
398 Replies
20K Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
3 Reactions
15 Replies
515 Views
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
4 Reactions
7K Replies
168K Views
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk Je, watendaji wakiwemo...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
502K Replies
27M Views
Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma...
14 Reactions
92 Replies
2K Views
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke...
61 Reactions
150 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,647
Posts
49,109,564
Members
662,950
Latest member
benn31
Back
Top Bottom