Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu. Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
30 Reactions
165 Replies
3K Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
12 Reactions
96 Replies
1K Views
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?
1 Reactions
30 Replies
433 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
138 Reactions
152K Replies
7M Views
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada. Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
61 Reactions
6K Replies
702K Views
TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
"Kwa miaka hii Mitatu Rais Samia ameweza Kukusanya Shilingi Trilioni Mbili tena bila ya Kuzikwapua kwa Watu katika Akaunti zao na kutumia Udikteta kuzipata " amesema Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je...
2 Reactions
45 Replies
1K Views
Leo imetimia miaka 3 Tangu Rais Samia aape kuwa Rais wa Tanzania. Kwa miaka hii 3, Nchi imepata mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za Uchumi na kijamii Kwa mda mfupi kushinda wakati mwingine...
4 Reactions
41 Replies
240 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,694
Posts
49,111,488
Members
662,982
Latest member
juma all
Back
Top Bottom