Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa...
Wanasema tembea uone,,,hakika najionea ambayo sikuyaona town
Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai...
Taarifa za Uhakika kutoka CHADEMA , zimeeleza kwamba , Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho , Tundu Lissu ataongoza Maandamano ya Amani Mkoani Manyara , baada ya kuahirisha Maandamano ya Karatu kwa...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.