Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!
Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia...
Wakuu embu tujuzeni ulipitiaje kipindi ukiwa huna hela maisha yamekupiga total knock out and huna kula kulala ya uhakika?
Mie nimejaribu mishe za udalali ila hailipi kabisaa na ni majanga bin...
Tunajua kwamba Mariamu alimpata Yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu....
Lakini pia tunajua alikuwa mke wa halali wa Yusufu....
Inawezekana kweli kwamba kwenye maisha yao yote ya ndoa, baada ya Yesu...
Ni masaa machache tu yamebaki kabla ya Simba kuwavaa waarabu,,
Nina sababu kubwa mbili kuwaunga mkono Simba kwenye mechi ya Leo.
1, ni CAF kutupa vigogo wote ili tutolewe kwenye mashindano. ili...
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
Eti?
Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike..... unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili?
Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au...
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,
Nchi ya Tanzania kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.