Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo) Ni aidha jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo Mbinu ya kukuibia wateja kwa...
6 Reactions
29 Replies
774 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
39 Reactions
800 Replies
15K Views
Haya mje wana Kuna dada amemwaga maji huko Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3. Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa Kijana kumpeleka...
8 Reactions
200 Replies
4K Views
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha...
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani...
7 Reactions
21 Replies
128 Views
Kuna mambo Mawili muhimu Sana Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu...
11 Reactions
67 Replies
1K Views
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
16 Reactions
76 Replies
1K Views
Nadhani wote tunaelewa Wanasiasa na Ulaghai / Kulaumu wengine ni pete na Kidole....; Mdau mmoja alisema.... To err is human. To blame someone else is politics. Nashangaa pale Chama tawala...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
18 Reactions
131 Replies
9K Views
Atangaza neema Mei Mosi kwa watakaotatua migogoro na kero za wananchi kwa wingi na ufanisi mkoani Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa amesema Maafisa Tarafa na Watendaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,095
Posts
49,474,068
Members
666,592
Latest member
Theresia mpoma
Back
Top Bottom