Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika tafiti fupi niliyofanya, nimegundua ndoa na mahusiano ya kudumu ni mikataba ya kitapeli inayotumaliza wanaume, sababu mrejesho wa tafiti yangu unaonyesha katika mahusiano mengi, wanawake...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakuu kwema? Tumeshudia mara kadhaa wananchi wakichukuliwa hatua kwa makosa ya "Kusambaza taarifa za uongo" au kufanya "Upotoshaji", mfano wa juzi juzi hapa ni yule dada aliyeimba mnatuona...
1 Reactions
4 Replies
175 Views
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu...
8 Reactions
18 Replies
277 Views
Pata ramani nzuri na za kisasa zaidi Kwa wachoraji waliobobea katika maswala ya uchoraji ramani na ujenzi pia tutakupa ushauri kuhusu maswala ya ramani na ujenzi kwa ujumla Mawasiliano...
11 Reactions
442 Replies
56K Views
Habari wana jf. Naimai mko poa kabisa Kama kichwa cha habari kinavyosema Nimekuwa na mahusiano na waschana takribani matano mpk asaiv. Ila chakushangaza kila dem napokuwa kweny mahusiano nae...
3 Reactions
23 Replies
61 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
Kampuni ya usafirishaji Mabasi,New force imehusika kwenye ajari nyingi sana.Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha
0 Reactions
7 Replies
125 Views
habari Wana JF, Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito [emoji24] pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao...
0 Reactions
41 Replies
344 Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo,tyipod na malaria mara...
0 Reactions
8 Replies
116 Views
Hili wadau litaongeza ushawishi mkubwa kwa taifa kila nchi itachagua Tanzania kuja kuweka kambi badala ya kukataza jezi tutengeneze ela kupitia hili, wizara ifanye ubunifu tumeona Mamelodi wamekua...
0 Reactions
9 Replies
129 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,279
Posts
49,195,890
Members
663,964
Latest member
Abel paschal
Back
Top Bottom