Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waungwana habarini, Kama kuna mtu amewahi/anafanya kazi katika kampuni za kuagiza magari kutoka nje. Mwenye uzoefu na hayo maswala kwa kifupi. Naomba tuwasiliane Normal/Whatsapp 0757520276...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
#LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza...
6 Reactions
589 Replies
21K Views
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
19 Reactions
181 Replies
3K Views
Mambo ya tabia na mazoea mbofu mbofu utapigwa na mumeo mpaka ujirekebishe. Habari ndio hiyo.
5 Reactions
35 Replies
259 Views
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza, Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu. SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama...
32 Reactions
132 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni...
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Niko kwenye Chama hiki kwa miaka yote na nashuhudia Chaguzi nyingi sana za ndani, lakini kiukweli sijawahi kuona Uchaguzi wa ndani ya Chama hiki ulio na msisimko kama uchaguzi wa mwaka huu, na...
4 Reactions
27 Replies
548 Views
Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma. Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa...
2 Reactions
16 Replies
165 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
1 Reactions
46 Replies
89 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,511
Posts
49,420,433
Members
665,974
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom