Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Je, inawezekana mtu kupata HIV, kwenye sex chini ya dakika 2?! Ikiwa ulikutana nae anatumia dawa na wadudu wake ni wachache?
4 Reactions
112 Replies
2K Views
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa...
36 Reactions
97 Replies
3K Views
. Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama...
11 Reactions
8 Replies
5K Views
Kuna mambo matatu ambayo hua moja linaweza simama kupinga lingine. Mwenye uelewa anaweza kuchambua haya mambo matatu lipi nikuu kuliko mengine . Lipi bora kuliko mengine na lipi linapaswa watu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
12 Reactions
48 Replies
1K Views
Habari za uzima, Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto...
2 Reactions
9 Replies
212 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa...
53 Reactions
205 Replies
11K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,204
Posts
49,478,282
Members
666,653
Latest member
Mo Said 83
Back
Top Bottom