Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige...
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki?
Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi.
2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani?
3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito...
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana.
Hii...
Umdhaniaye siye. Hata mabonge ni wezi na vibaka?
https://www.youtube.com/watch?v=ceNupu_zjq0&pp=ygUlcm9iYmVyeSBjYXVnaHQgb24gY2FtZXJhIHNvdXRoIGFmcmljYQ%3D%3D
mrangi Isanga family King Kong III
Usiku wa Jumamosi, tarehe13 April 2024, Iran iliishambulia Israel kwa makombora mbalimbali na drones 300, huku mitambo ya Israel, Marekani, Uingereza na Jordan, ikidaka zaidi ya 99% ya makombora...
Habari wakuu!
Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali...
Tax Assessors na Tax Collector's wanalielewa Hilo hivyo ni vema wakamuelewesha Waziri Mwigullu
Na kwa bahati nzuri Naibu Katibu mkuu Hazina ni Tax man
Sanare wakati wa kuanzisha TRA ndiye...
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli.
Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.