Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Hili swali nimeulizwa na huyu mtoto wangu mdogo! Kila mcheshi anadhani anaweza kuwa MC na wengi wamevamia huko, cha ajabu ni wachache sana kati yao wenye angalau. Japo lengo lao kujipatia...
2 Reactions
3 Replies
40 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
866 Replies
21K Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
8K Views
Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024 Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ. Yanga...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
1 Reactions
17 Replies
149 Views
Mlioko Mjini tujuzeni hali ya mvua huko niko Ubungo nakuja town Ni hilo tu Mbarikiwe! ====== TAARIFA KWA UMMA YAH: Kufungwa kwa Njia. Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART unawaarifu...
2 Reactions
17 Replies
255 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
17 Reactions
90 Replies
2K Views
Akichangia katika mjadala wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na uwekezaji, Mbunge wa jimbo la Mlinga, Godwin Kunambi amependekeza Wakurugenzi wa halmashauri wasiwe wanasiasa, wapatikane kwa...
9 Reactions
48 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,781
Posts
49,465,560
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom